WIZARA YA ELIMU KUWAKUTANISHA WAATALAMU KUJADILI MABADILIKO YA MITAALA YA ELIMU

Na Barnabas Kisengi-Dodoma Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuwakutanisha kwa siku tatu wadau mbalimbali wa sekta ya elimu katika mkutano wa kujadili mapitio ya sera na mafunzo ya mwaka 2014 na mabadiliko ya mitaala ya elimu. Majadiliano hayo yatatokana na hatua iliyofikiwa katika mapitio ya Sera na mitaala baada ya kukusanya maoni mengi kutoka